Serikali yatoa mafunzo kwa watumishi 4,913.
Afisa Uhusiano wa Chuo cha Serikali za
mitaa Bw.Sebera Fulgence akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu
mafanikio ya chuo hicho ikiwa ni pamoja na kufanya mafunzo kwa Watumishi wa Serikali wapatao 4,913,wakati wa Mkutano uliofanyika
ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa
Kitengo cha Mawasiliano toka Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa(TAMISEMI) Bi. Rebecca Kwandu. Picha na Eliphace Marwa-Maelezo
No comments:
Post a Comment