RITA KUONGEZA IDADI YA WANANCHI WALIOSAJILIWA NA KUPATA VYETI VYA KUZALIWA NCHINI
Meneja Masoko na Mawasiliano toka Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini(RITA) Bw.
Josephat Kimaro akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu mikakati ya wakala
hao ya kuongeza idadi ya wananchi
waliosajiliwa na kupata vyeti vya kuzaliwa nchini, wakati wa mkutano
uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto
ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bi.Georgina Misama.
Wakili
wa Serikali toka Wakala
wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) Bi.Patricia Mpuya akifafanua kwa waandishi
wa habari(hawapo pichani) kuhusu maboresho ya sheria
ya Usajili wa vizazi na Vifo itakayowezesha kusogeza huduma za upatikanaji
vyeti vya kuzaliwa karibu na maeneo ya wananchi, wakati wa mkutano uliofanyika
ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam
Picha
na Eliphace Marwa-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment