RAIS KIKWETE AAPISHA BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA, KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI, NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO NA KATIBU MTENDAJI BODI YA MISHAHARA NA MSLAHI
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Daniel Ole Njolaay kuwa balozi
leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam. Balozi Njolaay amepangwa
kuwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe
Daniel Ole Njolaay baada ya kumuapisha kuwa balozi leo Oktoba 28, 2013
Ikulu jijini Dar es salaam. Balozi Njolaay amepangwa kuwa balozi wa
Tanzania nchini Nigeria.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Dkt. Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu
Wizara ya Maji leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Dkt. Bashir Mrindoko baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Raphael Leyani Duluti kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe Raphael Leyani Duluti
baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Chakula na
Ushirika leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Tamika Mwakahesya kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe Tamika Mwakahesya baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais wakiwa katika picha ya pamoja
na walioapishwa leo kushika nyadhifa mbalimbali Ikulu jijini Dar es
salaam. Kutoka kushoto ni Mhe. Raphael Leyani Duluti kuwa Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Dkt. Bashir Mrindoko kuwa
Katibu Mkuu Wizara ya Maji. toka kulia ni Mhe Daniel Ole Njolaay
aliyeapishwa kuwa balozi wa Tanzania nchini nigeria akifuatiwa na Mhe
Tamika Mwakahesya aliyeapishwa kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara
na Maslahi.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment