RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WATOA POLE KWA MJANE NA FAMILIA YA BALOZI ISAAC SEPETU LEO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya
msiba wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda nyumbani kwa marehemu Sinza
Mori, Dar es salaam, kutoa pole. Marehemu Sepetu aliyefariki jana katika
jijini Dar es salaam.
Mama
Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa
Balozi Isaac Sepetu nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es salaam.
. Marehemu Sepetu aliyefariki jana katika jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Balozi Isaac Sepetu, Mama
Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza
Mori, Dar es salaam, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya Marehemu
Sepetu aliyefariki jana jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia wa Balozi Isaac
Sepetu alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar
es salaam, kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki jana
jijini Dar es salaam.
Mke
wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Balozi Isaac Sepetu
alipokwenda nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es salaam, kutoa
pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki jana katika jijini Dar
es salaam.
:Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Balozi Isaac Sepetu, Mama
Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza
Mori, Dar es salaam, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya Marehemu
Sepetu aliyefariki jana jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment