PICHA ZA AL SHABAB WAKISHEREKEA USHINDI WA SHAMBULIO LA WESTGATE KENYA.
Kundi la wanamgambo wa Al Shabab kutoka Somalia, Siku ya Jumanne walifanya sherehe ya kujipongeza
zilizofanyika mjini mwa Somalia eneo la Barawa baada ya
kufanya shambulio la mauaji nchini Kenya katika maduka ya WestGate Mwezi
septemba Tar 21 ambapo watu takribani ya 67 walipoteza maisha ikidaiwa
ni kulipa kisasi kwa mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wa Kenya mjini
Kismayo.
No comments:
Post a Comment