Header Ads


 Ongusi Olando Makongoro  Anatoa shuklani za za dhati hapo jana kwa kushukuru Mungu mpaka hapo alipofikia katika masomo yake 
na hivi ndivyo alivyoandika katika page yake ya facebook jana...
"Habari zenyuuuuuuuu,awali ya yote ninamshukuru muumba kwa yote, wapendwa ninawakaribisha sana leo, its my day, hayawi hayawi yamekuwaaa, today navaa kitu cha joho pale kati, yaani ful maraha, nawakaribisha mno kwenye my Graduation Ceremony, 
nawapenda woteeeeee, ur welcom, karibun tupige mapicha nini nini, yaaani vitu kama hivyo, il mrad ni furaha, three years, umri wa mtt wangu kabisa, yaani Mungu ni mwema ni kwa neema yake leo, niko hapa na nina furaha hatariiii"
Hongera dada Mungu Akujalie Mafanikio Mema. 
credit:bamizablog

No comments:

Powered by Blogger.