NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MADAWATI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 12.6 JIMBO LA KALENGA MKOA WA IRINGA
Meneja
wa NMB kanda ya Nyanda za juu , Lucresia Makiriye akimkabidhi mganga
mkuu wa hospitali ya halmashauri ya Iringa, Raymond Kiwone , sehemu ya
msaada wa vitanda vya wodi ya wazazi uliotolewa na benki ya NMB.
Meneja
wa NMB kanda ya Nyanda za juu Lucrecia Makirie akimkabidhi Afisa Elimu
wa Halmashauri wilaya ya Iringa, Yusuph Mpwatile sehemu ya msaada wa
madawati ya shule za msingi jimbo la kalenga .Msaada huo umetolewa na
Benki ya NMB ili kusaidia katika juhudi za kupunguza uhaba wa madawati
shuleni katika mkoa wa Iringa.
Maafisa wa benki ya NMB wakiwa katika picha ya
pamoja na watumishi wa hospitali hiyo baada ya makabidhiano hayo
yaliyofanyika katika viwanja vya hospitali ya halmashauri ya Iringaa
No comments:
Post a Comment