Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa
ndegea wa Shenzhen akitokea Beijing akiwa katika ziara ya kikazi
nchini China Oktoba 19, 2013
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda
akizungumza baada ya kutembelea Sheko Container Teminal mjini Shenshen
akiwa katika ziara ya kikazi nchini China
Waziri
Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania baada ya
kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara ya
kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.
Waziri
Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye ubalozi wao
mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.
Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Chini, Luteni Jenerali Abdulrahmani
Shimbo.
Baadhi
ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakati
alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika
ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu
No comments:
Post a Comment