![]() |
| Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa(Tamisemi)Hawa Ghasia akifungua mkutano wa Sita wa Wadau wa Mfuko
wa LAPF leo jijini Arusha. |
![]() |
| Wajumbe wa mkutano wa Sita wa Wadau wa LAPF wakifatilia kwa makini. |
![]() |
| Wajumbe wa mkutano wa Sita wa Wadau wa LAPF wakifatilia kwa makini. |
![]() |
| Mmoja wa wajumbe akisoma gazeti la Mwananchi kabla mkutano kuanza. |
![]() |
| Mmoja wa wajumbe akisoma gazeti la Mwananchi kabla mkutano kuanza. |
![]() |
| Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka(kushoto)akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa LAPF,Profesa Asa Mlawa. |
![]() |
| Wabunge waliohudhuria mkutano wa LAPF wakiteta jambo |
![]() |
| Mwanachama wa Mfuko wa LAPF kutoka mkoani Mtwara ambaye ni mstaafu,Bi Aisha Sufian akitoa ushuhuda wake jinsi alivyonufaika na mfuko huo.Picha zote na www.rweyemamuinfo.blogspot.com |

No comments:
Post a Comment