WABUNGE IRINGA WATINGA NDANI YA WIKI YA VIJANA KITAIFA.
Wabunge
wa Iringa nao ndani ya Nyumba, Ni Mh. Rita Kabati na Mh. Lediana Mafuru
Mgong'o wachangia midahalo ya Wiki ya Vijana, Watoa nasaha zao!Vijana
wawakubali,Vijana waaswa kutotumika katika masuala yasiyo na tija kwa
maendeleo ya Taifa.


No comments:
Post a Comment