Header Ads

MAMA WA UFOO SARO AZIKWA LEO HUKO MACHAME MOSHI MKOANI KILIMANJARO

Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Anastazia Saro likiwekwa kaburini.
Mkuu wa jimbo la Hai,Aminirabi Swai akiongoza ibada ya maziko katika makaburi ya kanisa hilo na kisha kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu Anastazia Saro.
Mkuu wa jimbo la Hai,Aminirabi Swai akiongoza ibada ya maziko katika makaburi ya kanisa hilo na kisha kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu Anastazia Saro.
mwakilishi wa serikali katika maziko ya marehemu Anastazia Saro ,mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga akiweka shada la Maua katika kaburi.
Mtoto Alvis Anthery akiweka shada la maua katika kaburi la Bibi yake marehemu Anastazia Saro.(picha na Dixon Busagaga)

Na Dixon Busagaga waglobu ya jamii Moshi

VILIO,simanzi na hali ya huzuni jana vimetawala kwa mamia ya wakazi wa kijiji cha Shari, Machame wilayani Hai waliojitokeza kuuaga mwili wa marehemu ,Anastazia Saro (56),mama mzazi wa Mwanadishi na Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV,Ufoo Saro........BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI»

No comments:

Powered by Blogger.