MAMA SALMA KIKWETE APOKEA UA KWA UKARIBISHO MKOANI NJOMBE
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa Binti Witness Mwalongo
anayesoma Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari ya Mpechi iliyopo
Mjini Njombe mara tu baada ya kuwasili Rest House mjini hapo tarehe
17.10.2013. Mama Salma yupo Mkoani Njombe akifuatana na Rais Kikwete
aliye katika ziara ya kuutembelea mkoa wa Njombe kuanzia tarehe 17.10
hadi 23.10.2013. PICHA NA JOHN LUKUWI
No comments:
Post a Comment