BMAF yapokea Sh. milioni 50 za kitanzania kuboresha huduma za afya.
Mkurugenzi
mtendaji wa Taasisi isiyoya kiserikali ya Benjamin William Mkapa Foundation
(BMAF) Dkt. Ellen Senkoro (kulia) akisisitiza jambo wakati wa makabidhiano ya
msaada wa kiasi cha Sh. milioni 50 za kitanzania mbele ya waandishi wa habari na
baadhi ya watumishi wa BMAF. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya
AngloGold Ashanti Geita Gold Mine (GGM) Balozi Richard Mariki.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya AngloGold Ashanti Geita Gold Mine (GGM) Balozi Richard Mariki
(kushoto) akisisitiza jambo wakati wa makabidhiano ya msaada wa kiasi cha Sh.
milioni 50 za kitanzania mbele ya waandishi wa habari na baadhi ya watumishi wa
BMAF. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi isiyoya kiserikali ya
Benjamin William Mkapa Foundation (BMAF) Dkt. Ellen Senkoro.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya AngloGold Ashanti Geita Gold Mine (GGM) Balozi Richard Mariki
(kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi isiyoya kiserikali ya
Benjamin William Mkapa Foundation (BMAF) Dkt. Ellen Senkoro bahasha yenye nembo
ya kampuni GGM kama ishara ya kupokea msaada wa kiasi cha Sh. milioni 50 za
kitanzania mbele ya waandishi wa habari na baadhi ya watumishi wa BMAF. (Picha
zote na Lorietha Lawrence-Maelezo) .
No comments:
Post a Comment