Makamu wa Rais Dkt Bilal afungua mkutano wa Mabunge ya SADC mjini Arusha leo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama
wa Jumuiya ya SADC katika ukumbi wa AICC mjini Arusha leo 20 Octoba
2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu
Ameir kificho kabla ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya
Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC leo Octoba 20, 2013 katika ukumbi wa A
I C C mjini Arusha..
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbles Lema nje ya
ukumbi wa mikutano wa A I C C Arusha, Baada ya kufungua mkutano wa siku
11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC katika ukumbi
wa A I C C mjini Arusha leo 20 Octoba 2013. Kushoto Mbunge wa Arumeru
Mashariki Joshua Nasari.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu
Ameir kificho kabla ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya
Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC leo Octoba 20, 2013 katika ukumbi wa A
I C C mjini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiangalia vikundi vya sanaa vya ngoma za aina mbalimbali
alipowasili katika Jengo la Ukumbi wa mikutano A I C C mjini Arusha kwa
ajili ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama
wa Jumuiya ya SADC leo Octoba 20, 2013.
(Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment