Header Ads

AU yataka kesi dhidi ya Kenyatta katika ICC iahirishwe

Viongozi katika mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia, wametaka kesi inayoendelea katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu - ICC dhidi ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta icheleweshwe Haya yanajiri baada ya viongozi hao wa Afrika kulalamika kuwa mahakama ya ICC inalilenga tu bara la Afrika katika kesi zake.

No comments:

Powered by Blogger.