MWILI WA MAMAKE UFOO SARO UKITOLEWA MUHIMBILI KWENDA KUAGWA KIBAMBA
Jeneza lenye mwili wa mamake mzazi wa Mwandishi wa Habari wa Kituo cha
Televisheni cha ITV, Ufoo Saro, marehemu Anastazia Peter Saro likiwekwa
kwenye gari leo katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam ukipelekwa
kwake Kibamba kuagwa tayari kusafirishwa kwa maziko nyumbani kwao
Arusha.Ufoo na mamake walipigwa risasi na mpenzi wake Ufoo kitendo
ambacho kilisababisha mauti kwa mama huyo na ufoo kujeruhiwa tumbo.
PICHA NA MDAU KHAMIS MUSSA
No comments:
Post a Comment