Mkurugenzi
wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania, Steve Kilindo
kushoto), Meneja wa kinywaji cha Redds, Victoria Kimaro (kushoto)
wakigongeana chupa cha kinywaji hicho, wakati wa uzinduzi wa udhamini wa
mashindano ya urembo nchini ya Miss Tanzania, ambayo kuanzia jana sasa
yataitwa Redd's Miss Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika usiku wa kuamki
aleo kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA
KAMANDA MWAIKENDA)wa pamoja na warembo waki
Wakiangalia
nembo mpya ya Redd's Miss Tanzania itakavyokuwa inaonekana
Baadhi
ya wadau wakiwa katika hafla hiyo iliyonogeshwa na Bendi ya Tanzanites.
Wa pili kulia ni Meneja Mauzo wa TBL Kanda ya Kusini, Bokela
Kilindo
(mwenye shati jeupe) akimwaga kucheza muziki pamoja na warembo
Kilindo (kushoto) akiwa na warembo huku wakiwa na vinywaji
Redds
Baadhi
ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo ya kukata na shoka
Viongozi
wa kampuni ya Simu ya Zantel, wakifurahia jambo wakati wa hafla hiyo.
Kulia ni Awaich Mawalla ambaye ni Mkuu wa Bidhaa na Mawasiliano wa
kampuni hiyo
Miss
Tanzania 2011,Salha Israel (katikati) akiwa na baadhi ya viongozi wa
Kampuni ya Lino Iternational inayoaandaa mashindano hayo
Mkurugenzi
wa Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Steve Kilindo akihutubia wakati wa
uzinduzi wa udhamini huo
Mshereheshaji
Wanahabari
nao wakifurahia jambo. Kutoka kulia ni Seleman Mbuguni wa Majira, Somoe
Ng'itu wa Nipashe na Khadija Kalili wa Tanzania Daima
Mkurugenzi
wa Kianda cha Konyagi Tanzania, David Mgwassa (wa pili kulia) akiwa na
baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Kushoto ni Steven
Kilindo.
Mkurugenzi
wa Kianda cha Konyagi Tanzania, David Mgwassa (kushoto) akizungumza na
kiongozi mwenzie
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa
katika hafla hiyo
Reviewed by
crispaseve
on
6:19 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment