Header Ads

Mke wa mkurugenzi wa kituo cha utamaduni wa watu wa Iran, akimpatia zawadi mke wa makamu wa rais, Dr Bilal katika sherehe za maadhimisho ya uzawa wa mtume Mohamad S.A.W yaliyofanyiaka juzi katika ukumbi wa Diomond Jubilee.

Mkurugenzi wa kituo cha utamaduni wa watu wa Iran, Mortez Sabour, akijadiliana jambo na mwenyekiti wajumiya ya wanawake wa kiislamu Tanzania  Shamim Khan ,katika sherehe za maadhimisho ya uzawa wa mtume Mohamad S.A.W yaliyofanyiaka juzi katika ukumbi wa Diomond Jubilee.
Baadhi ya akina mama kutoka Iran, wakiwa na mke wa Balozi ,katika sherehe za maadhimisho ya uzawa wa mtume Mohamad S.A.W yaliyofanyiaka juzi katika ukumbi wa Diomond Jubilee.Picha na Amani Tanzania

No comments:

Powered by Blogger.