Kamera
yetu ilipomnasa mwanafunzi wa kitivo cha sayansi ya jamii sanaa na
lugha alipobeba TV yake begani kwaajili ya kuipeleka kuihifadhi kipindi
hiki cha likizo ya wiki 2.Mara baada ya wanafunzi wengi kumaliza
mitihani yao ya kumaliza muhula wa kwanza na kuondoka kuelekea majumba
kwao tayari kwa likizo ya wiki 2.
No comments:
Post a Comment