Kaimu MKurugenzi Ukaguzi wa Ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa
Umma PSPF. Bw.Godfrey Ngonyani (kushoto) akikabidhi msaada wa Madawati
60 yenye thamani ya milioni tatuwalioutoa leo kwa Mjumbe wa Kamati ya
Shule Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani, Bi. Jacklin Kitego kulia
na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Bi. Anifa Kombo.
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani wakigombania kukaa
kwenye madawati mapya walioletewa na Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa
Umma PSPF.
Kaimu
MKurugenzi Ukaguzi wa Ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma
PSPF. Bw. Godfrey Ngonyani (kulia) akizungumza na Wazazi na Wanafunzi
pamoja na Bodi ya Shule ya Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani
wakati walipokwenda kukabidhi msaada wa Madawati 60 yenyethamani ya
milioni tatu kushoto Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Bi. Anifa Kombo na
Mjumbe wa Bodi ya PSPF Bw. Ramadhani Maneno.

BAADHI YA WANAFUNZI WAKIBEBA MADAWATI
Reviewed by
crispaseve
on
1:27 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment