KILA MCHEZAJI WA ZAMBIA AZAWADIWA DOLA ZA MAREKANI 59,000
MABINGWA WA
AFRIKA ZAMBIA WALIVYOLAKIWA
Mwandishi
wa BBC anasema mashabiki waliokuwa wakisubiri, walilipuka kwa kelele
za shangwe, wakati nahodha Christopher Katongo alipotoka kwenye ndege
akiwa amelibeba Kombe la dhahabu la Mataifa ya Afrika.
No comments:
Post a Comment