Mwanamuziki
Yvonne Mwale kutoka Zambia akitumbuiza katika sherehe za valentine
zilizo andaliwa na kampuni ya bia ya serengeti kupitia Kinywaji cha
Baileys jijini Dar juzi.
Afisa
muwakilishi wa kinywaji cha Baileys Bi.Azda Imani akitoa mada katika
sherehe ya valentine ilizoandaliwa na kampuni ya bia ya serengeti
kupitia kinywaji cha Baileys jijini Dar juzi.
Meneja
mkuu wa shirika la ndege la FLY 540 nchini Bw. Brown Francis
akikabidhi zawadi ya tiketi ya ndege kwa mmoja wa washiriki wa sherehe
ya valentine iliyoandaliwa chini ya udhamini wa kampuni ya bia ya
serengeti juzi.
Watu
mbalimbali waliohudhuria sherehe ya usiku wa valentine ulioandaliwa na
kampuni ya bia ya serengeti kupitia kinywaji cha Baileys jijini Dar
juzi
Watu
walioshiriki katika sherehe za valentine wakibadishana mawazo wakati wa
sherehe hizo juzi.
Baadhi
ya wa watu waliohudhuria usiku wa valentine ulioandaliwa chini ya
udhamini wa kampuni ya bia ya serengeti kupitia kinywaji cha Baileys
jijini Dar.
Baadhi ya wa watu waliohudhuria usiku wa
valentine ulioandaliwa chini ya udhamini wa kampuni ya bia ya
serengeti kupitia kinywaji cha Baileys jijini Dar.. (PICHA KWA HISANI
YA FUULL SHANGWE BLOG)
No comments:
Post a Comment