Header Ads

UJUMBE WA MBOWE KWA WATANZANIA - 9 Novemba 2011 



Ujumbe kwa Watanzania wote.
Maneno ya Freeman Mbowe ambayo hayakurekodiwa:

"Watanzania wajue na wafahamu ninaipenda sana nchi yangu na najisikia kutoka moyoni mwangu bila hila nawapenda sana Watanzania wenzangu natamani tufurahie maisha ya uhuru wetu tukiwa katika mazingira ya haki na neema kwa kila mtanzania" Harakati hii ni ya Haki na Ukweli na kwa vile Mungu ni KWELI sina mashaka kabisa kuwa tunafanya kusudi la Mwenyezi Mungu, kwa hiyo Haki itashinda" Watanzania tusiogope muda kidogo tutafika!!

No comments:

Powered by Blogger.