TASWIRA ZA WAZIRI MKUU KUTOKA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne
Kilango Malecelakwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 9, 2011.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Esther Matiko
(kushoto) na Leticia Nyerere kweye jengo la utawala la Bunge mjini
Dodoma Novemba 9,2011.
Waaziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimina na Viongozi wa Kampuni ya
Globeleq-Songas kabla ya kuzungumza nao, ofisini kwake Mjini Dodoma
Novemba 8, 2011. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji, Christopher
Ford, Paul Kunert, Mikael Karlsson na (kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji
wa kampuni ya 1Plus Communication, Fina Mango. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment