Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Akutana na Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mukama Jijini Dar es Salaam

Katibu
Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha Balozi wa Ujerumani hapa
nchini, Klaus-Peter Brandes alipofika Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo.

Mukama akisisitiza jambo wakati akipiga stori na Balozi huyo

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza na Balozi wa Ujerumani hapa nchini, Klaus-Peter Brandes, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment