Rais
Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Joseph Payne kutoka Ofisi ya
Ubalozi wa Uingereza nchini hivi karibuni walipokutana katika Ofisi za
Taasisi ya WAMA jijini Dar es Salaam ambapo
kulifanyika hafla ya kukabidhi vitabu kwa wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya WAMA- NAKAYAMA iliyopo Nyamisati Mkoa wa Pwani pamoja na
shule ya Sekondari ya wasichana Kilalakala ya mkoani Morogoro. Katika
hafla hiyo Mke wa Prince Charles, Camilla alikabidhi kitabu Kwa Mke wa
Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete ambacho
kinatimiza idadi ya vitabu milioni moja vilivyotolewa msaada kutoka
kwa Taasisi ya British Charity READ International. Picha na Mwanakombo
Jumaa-MAELEZO. |
No comments:
Post a Comment