Header Ads

 MPAMBANO WA MTOTO WA BAKHRESA NA WAPIGA PICHA ZA HABARI WALIOKUWA WAKIPIGWA KWA HELMETI ILI WASIMPIGE PICHA YA AJALI
Jamal Bakhresa akitumia helmeti kuwakung'uta waandishi wa habari
waliodaiwa kumpiga picha yeye na mwendesha pikipiki mwenzake
walipogongana katika Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana.
Jamal Bakhresa akitumia helmeti kuwakung'uta waandishi wa habari
waliodaiwa kumpiga picha yeye na mwendesha pikipiki mwenzake
walipogongana katika Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

                                 
Anayejaribu kumzuia ni Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Richard Mwaikenda ambaye alipigwa na helmeti hiyo kichwani. Mwaikenda ni mmiliki wa Blogu ya kamanda wa matukio.
   Pole Kamanda wa matukio kwa changamoto hizo zilizojitokeza.



No comments:

Powered by Blogger.