Header Ads

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Lazaro Nyalandu Atembelea Studio Za 

Clouds Fm

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Lazaro Nyalandu akifafanua jambo juu ya magendo ya sukari na mfumuko wa bei nchini ndani ya studio za Clouds Fm katika kipindi cha Power Breakfast hii leo asubuhi.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Lazaro Nyalandu akiagana na mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm Gerald Hando mara baada ya kumaliza mahojiano juu ya hali ya sukari nchini na mfumuko wa bei mapema laeo asubuhi.

Meneja wa Vipindi wa Clouds Fm Sebastian Maganga kushoto akimfafanulia jambo Naibu wa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Lazaro Nyalandu alipotombelea studio za Clouds Fm na Clouds TV asubuhi ya leo. Kulia kwa Mh. Nyalandu ni mwandaaji vipindi Bw. Simon Simalenga, na mwenye tai ni Mhariri Mkuu Msaidizi wa Habari na Matukio Bw. Lazaro Matalange

No comments:

Powered by Blogger.