
Video
Mpya Ya Msanii Ay Itachezwa leo kama Exclusive on MTVbase @ 16:00 Cat
kwa mujibu wa MTVbase. na Soon utaweza kuiona kwenye Television Mbali
Mbali. AY amesema kwamba video iyo imefanywa chini ya OGOPA videos na
ndani ya Track iyo amewashirikisha wasanii kutoka kenya wanaojulikana
kama Sauti Soul.
No comments:
Post a Comment