PICHA ZA WADAU WA READING KATIKA POZI TOFAUTI.
 |
| Dello akifanya makamuzi ya kuku wa kuchoma tayari kwa mlo ! |
 |
| Mhe. Naibu Balozi akiwa na wadau wa Reading wakati wa Carnival |
 |
| Cheki nyomi lilivyokuwa .... |
 |
| Wadau
wa reading wakila pozi ndani ya banda na TA Reading wakiwa na Berry
Black ambaye ni msanii wa Bongo Flava kutoka Zanzibar . Kwa
mara ya kwanza TA Reading ikishirikiana na TANZ UK waliandaa banda la
kitanzania kwa kupika chakula cha Kitanzania na kuuza kwa watu
mbalimbali waliojitokeza kutembelea banda la TA ikiwa ni mojawapo ya
mradi wa kuchangia mfuko wa TA Reading. Mgeni rasmi alikuwa Mhe. Naibu
Balozi wa Tanzania Uingereza Chabaka Kilumanga alieambatana na Afisa wa
Ubalozini Amosi Msanjila. Kwa ujumla banda ka kitanzania lilitia fora
kuliko mabanda yote mengine ya mataifa mbalimbali.
Mzuka!
|
No comments:
Post a Comment