Header Ads

MWANAMITINDO  AZINDUA FOUNDATION 

FLAVIANA FOUNDATION. Imeanzishwa naFlaviana Matata  kwa misingi ya mizuri na malengo makubwa katika taifa hili na hata Africa kwa ujumla.Kwani itasimama kusaidia wasichana wenye matatizo mbalimbali hasa wanaoishi kwenye mazingira magumu.


 
 Flavian Matata amesema anafanya hii kwasababu ameguswa na maisha ya jamii ya wasichana wadogo wenye mazingira magumu katika tanzania nzima na kwa mara ya kwanza mrembo huyo kufanya kitu cha pekeee na mfano wa kuigwa katika jamiii ya warembo na hata wasanii.
pia au yoyote mwenye uwezom aliyeguswa juu ya jambo lolote juu ya jamii hii ya Tanzania kwa upande wangu nampa shukrani zangu za dhati na kusema mungu amsaidie afanikishe malengo yake.  


Uzinduzi huo ulifanyika jana katika hoteli ya Kempinski na mimi nilibahatika kupata mwaliko huo hasa ukizingatia kuwa ni moja ya kazi zangu japo sina foundation.Kupitia Flav tunaweza kufanya kazi pamoja maana ni wengi wenye matatizo hunifata na mimi sina uwezo wa vile kuwasaidia.

No comments:

Powered by Blogger.