Boogy from A town
Huyu ndio mtu mzima Boogy mchizi anayekuja kwa kasi kwenye mambo ya kuedit ma cover ya wasanii wa bongo na bongo mixtape za ukweli kaa tayari kwa maujanja yake ndani ya mixtape bongo mpya zijazo kwa hivi sasa kuna project tatu utaziona hapa hapa kwenye blog la kijanja a.k.a ENTERTAINMENT CENTER...kuna ya Mexana ipo njiani kuna ya Machalii flani wa kaskazini...vichwa kibao toka arusha vyenye majina...nyingine nyingi nyingi sanaa ambazo ndo bado zipo njiani hakupenda kuzitaja kwa majina...
Ok! tunakusubiria Brother ....

No comments:
Post a Comment