Header Ads

Mwenyekiti wa CHADEMA akamatwa na polisi.


Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA)Mh.Freeman Mbowe amekamatwa na polisi kwa amri ya mahakama kwa kosa la kutofika mhakamani mara mbili kwa muda uliopangwa na mahakama.Uongozi mzima wa chadema umelaani vikali kitendo hicho  kwani nikukwamisha juhudi za bwana Mbowe kama kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni kwa kukosa vikao vya bajeti kwani yeye ndiye mkuu wa kambi ya upinzani Akiwa kama waziri mkuu kivuli bungeni kufanya hivyo ni kukandamiza Demokrasia na kudhalilisha upinzani Hasa kwa kipindi hiki muhimu cha bunge la bajeti.
DENIS HENDRY
0712 550508
0765 002472

No comments:

Powered by Blogger.