MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA MATAIFA YA TROPIKI YALIYO UKANDA WENYE MISITU MIKUBWA
Picha
ya pamoja ya Marais wan chi balimbali waliohudhuria mkutano huo wa
Mataifa ya Tropiki yaliyo katika Ukanda wenye Misitu mikubwa na yenye kuvuna
mvua kwa wingi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya watu wa Kongo
Brazzaville
jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili
kushoto) akiwa na baadhi ya marais wa nchi mbalimbali katika mkutano wa Mataifa
ya Tropiki yaliyo katika Ukanda wenye Misitu mikubwa na yenye kuvuna mvua kwa
wingi,
uliofanyika kwenye Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya watu wa Kongo Brazzaville
janahabari na Josephat Lukaza
continue >>>
No comments:
Post a Comment