SERENGETI DANCE LA FIESTA SAN SIRO CLUB JIJINI DAR.
Leo ndiyo leo wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake hapa nazungumzia
Serengeti Dance la Fiesta linalofanyika Club San Sirro iliyopo Sinza.
Karibuni muone vipaji kutoka kwa vijana ambao wamejiandaa vyema na
wanachuana ile vikali kupata kundi moja bora linatakalowakilisha jiji la
Dar katika mashindano makubwa yanayotarajia kukutanisha mikoa ya Tanga,
Mwanza, Arusha, Dar es Salaam na Zanzibar.
continue >>>
Reviewed by
crispaseve
on
8:11 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment