YAH:BEST WISHES KWA WANAFUNZI WOTE WA UCC
REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU.LEO NIMECHUKUA NAFASI HII
KUWASILISHA UJUMBE HUU.KWANZA NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIJALIA UPENDO NA AMANI HASA KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI...NIKIWA KAMA MWANAFUZI WA CHUO CHA UCC NATOA SHUKURAN ZANGU ZA DHATI KWA UONGOZI NA WANAFUNZI WENZANGU KWA USHIRIKIANO WAO MPAKA HAPA TULIPOFIKIA.PIA NAWATAKIA MANDALIZI MEMA YA MITIHANI YA FINAL.KWAKUSEMA HIVYO NAWAKARIBISHA WANAFUNZI WOTE HOLLDAY INN PALE TUTAKUWA NAHAFLA FUPI YA KUTAKIANA HERI NA BARAKA TELEEEEE!
UKIPATA NOTE HII MTUMIE NA MWENZIO WA UCC.
ASANTENI SANA KWA KUNISIKILIZA.
WAKO KATIKA UJENZI WA TAIFA HILI
CHRISPER MALAMSHA
No comments:
Post a Comment