MKUU WA KITENGO CHA MAHUSIANO WA KAMPUNI YA VODACOM TANZANIA NECTOR FOYA AKIMWONYESHA KAMISHNA MKUU WA TRA BANGO LA KUELIMISHA UMMA NJIA ZA ULIPAJI KODI KUPITIA HUDUMA YA VODACOM M-PESA
Mkuu
wa kitengo cha Mahusiano wa kampuni ya Vodacom Tanzania Nector Foya
katikati akiwaonyesha Naibu Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) Placidus Luoga,na Mkuu wa kitengo cha Mauzo Vodacom
m-pesa FranklinBagalla bango litakalotumika kuelimisha umma njia za
ulipaji kodi kupitia huduma ya Vodacom m-pesa wakati wa utambulisho
rasmi wa huduma hiyo kwa waandishi wa habari Hivi karibuni jijini Dare
Es Dalaam.
No comments:
Post a Comment