Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Ujumbe kutoka Kampuni inayojenga
kiwanda cha madawa ya kuua mazalia ya mbu cha Kibaha kiitwacho
LABIOFAM ulioongozwa na Mkurugenzi wake Bw. Antonio J. Castro (wapili
kulia), Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Juni15, 2011.Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment