KATIBU MKUU WA CCM, WILSON MUKAMA AKUTANA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA MSUYA, NAKUMTEBELEA MUFTI WA TANZANIA SHEIKH MKUU ISSA BIN SHAABAN SIMBA
Picha
juu Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama(Kulia)akimkaribisha ofisini
kwake, Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya,leo Mtaa wa Lumumba mjini Dar
es Salaam.
Mufti
wa Tanzania, Sheikh Mkuu Issa Bin Shaaban Simba, akimkaribisha Ofisini
kwake, Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama,leo,Kinondoni Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment