JAMII INAWACHUKULIAJE WALEMAVU.....

Jamani mtoto huyu ambaye ni mlemavu wa mikono na miguu kutoka huko ughaibuni ameonekana nitofauti kidogo na hapa kwetu kwasababu kidogo ameonekana wanamjali hata na wanajua ni binadamu wa kawaida lakini utofauti na mtu akijifungua mlemavu basi anamtelekeza hata jalalani na kupelekea kuonekana ni kitu cha ajabu.
Note:Naomba jamii iache tabia ya kuwatelekeza walemavu sababu "binadamu wote ni sawa"
Mungu atujalie amani na upendo.Kwa hapa kwetu Tanzania naomba usiniulize ni vipi imekuwaje kwasababu watu wengi wamekuwa wakisingizia hali ya uchumi ni mbaya,Hivyo basi sioni sababu ya kumtelekeza mlemavu.
Msifanye hivyo!
chamsingi acheni Mungu aitwe Mungu
1 comment:
unajua kaka sisi watanzania sijui watu wa aina gani?
Post a Comment