
Kaimu Mnikulu, Alhaji Kassim Mtawa (kulia) akiwakabidhi zawadi ya
Sikukuu ya Pasaka, watawa kutoka kituo cha kulelea Watoto Yatima cha
Mburahati, Dar es Salaam. Emmanuela M.C na Annie M.C.

Digna Nsanya ambaye alimwakilisha Kamishna wa Idara ya Ustawi wa Jamii
katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, akishukuru kupokea zawadi ya
Pasaka kutoka kwa Kaimu Mnikulu, Alhaji Kassim Mtawa kwa ajili ya vituo
vya kuelelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu vya Kurasini na
Mtoni, Dar es Salaam.

Kaimu Mnikulu, Alhaji Kassim Mtawa (kulia) akimkabidhi Mlezi wa Kituo
cha kuelelea Watoto Yatima cha Dar al Arqum cha Tandika, Dar es Salaam,
Mohamed Said, zawadi ya Pasaka. Zawadi hizo zilizotolewa na Rais Jakaya
Kikwete ni, mbuzi 3,mchele kilo 150 na mafuta ya chakula lita 20.Kwa habari zaidi na
Kamanda wa matukio...
No comments:
Post a Comment