Rais Kikwete, akikagua gwaride la
heshima wakati wa maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar, leo kwenye Uwanja wa Amaani, Unguja, Zanzibar.
Rais Kikwete (kulia) akizungumza na
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein wakati wa maadhimisho hayo huko kisiwani zanzibari.
Maalimu Seif pamoja Viongozi mbalimbali wakiwa wamesimama wakati
gwaride la heshima likipita kwa mwendo wa haraka wakati wa maadhimisho hao.
(Picha zote na vyanzo vya habari)
No comments:
Post a Comment