JESUS COME BACK
JCB from watengwa " JCB ni noma shavu kwako mzazi" hayo ni baadhi ya maneno ya watanzania walikuwa katika hafla hiyo ya tuzo za kili music award iliyofanyika katika ukumbi wa DIMOND JUBILEE HALL.hip hop inazidi kupanda chati tanzania.
katika usiku huo wa tuzo hizo JCB alifanikiwa kupata tuzo mbili kwa kishindo na hiyo yote ni kutokana najuhidi alizozifanya mwaka jana ai see.HIP HOP IS ALIVE
No comments:
Post a Comment