FIVESTAR
WANATAARABU FIVE STAR WAPATA AJARI YA KUTISHA
Baadhi
ya wasamalia wema waliokuwepo katika eneo latukio baada ya ajali
kutokea kwa basi ndogo la wasanii wa Five stars modern Taarab
wakichunguza kama kuna masalia ama mtu aliyebanwa katika ajali hiyo
iliyo tokea jana usiku Mikumi.
Msanii
wa kikundi cha East Africa Melody Bi Mwanahawa Ally akiwa wodini
katika hospitali ya mkoa wa Morogoro leo Baada ya kujeruhiwa katika
Ajali hiyo la basi dogo la Five starts modern Taarabu.
Picha zote na habari kwa hisani ya Blogi ya jamii kwa habari zaidi bofya hapa chini.
No comments:
Post a Comment