MWIGULU AFUNGUA KIKAO CHA MAJADILIANO YA MASUALA YA WAKIMBIZI KATI YA SERIKALI NA UNHCR, JIJINI DAR ES SALAAM.
Mwakilishi
wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) nchini Tanzania,
Chansa Kapaya, akichangia hoja wakati wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi
za Juu kati ya Serikali na Shirika hilo .Majadiliano hayo yamehusu
masuala ya uhifadhi wa wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi
walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kushoto ni Makamu Kamishna Mkuu
wa Shirika hilo, Volker Turk .Kikao hicho kimefanyika leo, jijini Dar es
Salaam
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa
Ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu
masuala ya uhifadhi wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi
walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,
jijini Dar es Salaam
Kamishna
wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Nsato Marijani,
akichangia hoja wakati wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya
Serikali na Shirika hilo. Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi
wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi
mbalimbali nchini..Kikao hicho kimefanyika leo, jijini Dar es Salaam
Mratibu
wa Mpango wa Kuwahudumia wakimbizi ,Dkt. John Jingu, akizungumza
wakati wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu
masuala ya wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko
katika Kambi mbalimbali nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa CSFM, Prof.
Bonaventure Rutinwa. Kikao hicho kimefanyika leo, jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (wanne kulia waliokaa),
Makamu Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR),
Volker Turk(watano kulia waliokaa), wakiwa katika picha ya pamoja na
washriki wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu
masuala ya uhifadhi wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi
walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,
jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment