Balozi wa Italia atembelea Wizara ya Mambo ya Nje
Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt.
Suzan Kolimba (Mb), akimkaribisha ofisini kwake Balozi wa Italia nchini
Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni na ujumbe wake kwa ajili ya kufanya
mazungumzo.
Dtk.
Kolimba akisisitiza jambo kwenye mazungumzo na Balozi wa Italia nchini,
Mhe. Roberto Mengoni. Katika mazungumzo hayo alikuwepo pia Makamu wa
Rais wa Shirika la Taifa la Reli la Italia, Bw. Giovanni Roca ambaye
amekuja nchini kuangalia fursa za uwekezaji katika sekta ya reli baada
ya kuhamasishwa na Mhe. Naibu Waziri alipotembelea Italia hivi
karibuni.
Ujumbe wa Italia uliofuatana na Mhe. Balozi ukifuatilia mazungumzo.
Bw. Charles Faini (kulia), Katibu wa Naibu Waziri na Bw. Salvatory Mbilinyi wa Wizara ya Mambo ya Nje wakinukuu taarifa muhimu
Picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment