ACCESS BANK YAWA KIVUTIO CHA WAJASILIMALI NA WAFANYABIASHARA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
Meneja
Masoko wa Benki ya Access Bank ,Sijaona Simon akizungumza na Mmoja wa
Wateja waliotembelea Banda la benki hiyo hili kuweza kujipatia huduma
mbalimbali zinazotolewa ikiwemo mikopo na akaunti ya malengo Maalum
Afisa
Mikopo wa Access Bank , Marggoreth Riziki akizungumza na mmoja wateja
juu ya huduma zinazotolewa na benki hiyo ikiwemo mikopo kwa
wajasiliamali wadogo
Afisa
Mikopo wa Access Bank , Godbless Exaud akizungumza na mmoja wateja
juu ya huduma zinazotolewa na benki hiyo ikiwemo mikopo kwa
wajasiliamali wadogo
Afisa
Mikopo wa Access Bank , Isaak Malaba akikabidhi zawadi ya mfuko wa
Acces Bank kwa mmoja wa wateja waliotembelea banda lao
Afisa Mikopo wa Access Bank , Marggoreth Riziki na Godbless Exaud wakiwahudumia wateja ndani ya Sabsaba
Afisa
Mikopo wa Access Bank , Magdalena Kijuu akikabidhi Zawadi ya T-Shirt
kwa mteja aliyefungua Akaunti katika banda lao la Maonyesho ya Sabasaba
Afisa Mikopo wa Access Bank , Alex akitoa huduma mteja
Sehemu ya Wateja waliofika katika Banda hilo
wafanyakazi wa Accs Bank wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya banda la Maonyesho Sabasaba
No comments:
Post a Comment