SPIKA NDUGAI AKUTANA NA CHAMA CHA ASKARI WASTAAFU WA VITA KUU YA PILI YA DUNIA LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akipokea Barua ya
kujitambulisha na kuomba msaada wa mchango kwa ajili ya kufanya Mkutano
Mkuu wa Chama cha Askari wastaafu kwa Vita kuu ya pili ya dunia
waliopigana Mwaka 1939 – 1945 kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama hicho ambae
ni Ndg. Bakari Ngonja, katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akutana na kufanya mazungumzo
na Chama cha Askari wastaafu wa Vita kuu ya pili ya dunia waliopigana
Mwaka 1939 -1945 katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisisitiza jambo pale
alipokutana na kufanya mazungumzo na Chama cha Askari wastaafu wa Vita
kuu ya pili ya dunia waliopigana Mwaka 1939 -1945 katika kikao
kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment