RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA KIBAHA MKOA WA PWANI
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza mwananchi Azilongwa Buhali alipokuwa akimuelezea shida yake
mara baada ya kuhutubia wananchi wa Kibaha Mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Bondeni Mjini Kibaha kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Mkoa wa Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi wa Kibaha Maili moja katika viwanja vya Bondeni Mkoani Pwani
katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu
Mkoani humo.
Mmoja
wa Wananchi akionesha hisia zake wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia Wananchi wa
Kibaha Maili moja katika Viwanja vya Bondeni Mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Mbunge wa Kibaha mjini Silvestry Koka kabla ya kuhutubia
Wananchi wa Kibaha Mkoani Pwani.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza katika mkutano huo.
Mbunge wa Kibaha Mjini Silvestry Koka kabla ya kuhutubia Wananchi wa Kibaha Mkoani Pwani.
Wananchi
wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia mjini Kibaha.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment