SPIKA JOB NDUGAI NA WAJUMBE WA KAMATI ZA BUNGE ZA BAJETI NA NISHATI NA MADINI WATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),
Mhandisi Deusdedit Kakoko akimpa muhtasari Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai ambaye
ameongoza wajumbe wa Kamati za kudumu za Bunge za Nishati na Madini
pamoja na Kamati ya Bajeti bandari ya Dar es salaam kujionea makontena
yenye shehena ya mchanga kutoka migodini iliyokuwa imezuiwa kusafirishwa
nje ya nchi kwa agizo la serikali leo Machi 26, 2017
Sehemu ya makontena yenye shehena ya mchanga kutoka migodini ambayo imezuiwa kusafirishwa nje ya nchi kwa agizo la serikali
Sehemu ya wajumbe
wa Kamati za kudumu za Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya
Bajeti wakitembelea bandari ya Dar es salaam kujionea makontena yenye
shehena ya mchanga kutoka migodini ambayo imezuiwa kusafirishwa nje ya
nchi kwa agizo la serikali leo Machi 26, 2017
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko akimpa maelezo Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na wajumbe
wa Kamati za kudumu za Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya
Bajeti bandari ya Dar es salaam juu ya makontena yenye shehena ya
mchanga kutoka migodini iliyokuwa imezuiwa kusafirishwa nje ya nchi kwa
agizo la serikali leo Machi 26, 2017
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiwa na
wajumbe wa Kamati za kudumu za Bunge za Nishati na Madini pamoja na
Kamati ya Bajeti akiongea na wanahabari katika bandari ya Dar es salaam
baada ya kujionea makontena yenye shehena ya mchanga kutoka migodini
ambayo imezuiwa kusafirishwa nje ya nchi kwa agizo la serikali leo Machi
26, 2017
No comments:
Post a Comment